وَلَقَدْ خَلَقْنَا ٱلْإِنسَٰنَ مِن سُلَٰلَةٍ مِّن طِينٍ
Swahili Translation - Rowad Translation CenterNa kwa yakini tumemuumba mtu kutokana na asili ya udongo.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniNa kwa yakini tumemuumba mtu kutokana na asli ya udongo.