ثُمَّ جَعَلْنَٰهُ نُطْفَةً فِى قَرَارٍ مَّكِينٍ
Swahili Translation - Rowad Translation CenterKisha tukamfanya kuwa tone la mbegu ya uzazi katika mahali patulivu palipo madhubuti.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniKisha tukamjaalia awe tone ya mbegu ya uzazi katika kalio madhubuti.