caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Al-Muminoon, Aya 11

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 74 · 23:11

ٱلَّذِينَ يَرِثُونَ ٱلْفِرْدَوْسَ هُمْ فِيهَا خَٰلِدُونَ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterAmbao watairithi Bustani ya Firdausi, nao watadumu humo.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniAmbao watairithi Pepo ya Firdausi, wadumu humo.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70