caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Maryam, Aya 40

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 44 · 19:40

إِنَّا نَحْنُ نَرِثُ ٱلْأَرْضَ وَمَنْ عَلَيْهَا وَإِلَيْنَا يُرْجَعُونَ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterHakika Sisi ndio tutairithi ardhi na wale walio juu yake. Na kwetu watarejeshwa.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniHakika Sisi tutairithi ardhi na walio juu yake. Na kwetu watarejeshwa.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70