caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Maryam, Aya 39

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 44 · 19:39

وَأَنذِرْهُمْ يَوْمَ ٱلْحَسْرَةِ إِذْ قُضِىَ ٱلْأَمْرُ وَهُمْ فِى غَفْلَةٍ وَهُمْ لَا يُؤْمِنُونَ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterNa waonye siku ya majuto makubwa itapokatwa amri. Nao wako katika ghafla, wala hawaamini.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniNa waonye siku ya majuto itapo katwa amri. Nao wamo katika ghafla, wala hawaamini.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70