caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Maryam, Aya 41

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 44 · 19:41

وَٱذْكُرْ فِى ٱلْكِتَٰبِ إِبْرَٰهِيمَ إِنَّهُۥ كَانَ صِدِّيقًا نَّبِيًّا

Swahili Translation - Rowad Translation CenterNa mtaje katika Kitabu hiki Ibrahim. Hakika yeye alikuwa mkweli mno, na Nabii.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniNa mtaje katika Kitabu Ibrahim. Hakika yeye alikuwa mkweli, Nabii.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70