وَلَا تَكُونُوا۟ كَٱلَّذِينَ قَالُوا۟ سَمِعْنَا وَهُمْ لَا يَسْمَعُونَ
Swahili Translation - Rowad Translation CenterWala msiwe kama wale wanaosema, "Tumesikia" na hali hawasikii.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniWala msiwe kama wale wanao sema: Tumesikia, na kumbe hawasikii.