caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Al-Jinn, Aya 19

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 40 · 72:19

وَأَنَّهُۥ لَمَّا قَامَ عَبْدُ ٱللَّهِ يَدْعُوهُ كَادُوا۟ يَكُونُونَ عَلَيْهِ لِبَدًا

Swahili Translation - Rowad Translation CenterNa hakika Mja wa Mwenyezi Mungu aliposimama kumwomba, wao walikuwa karibu kumzonga!
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniNa hakika Mja wa Mwenyezi Mungu alipo simama kumwomba, wao walikuwa karibu kumzonga!
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70