caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Al-Jinn, Aya 20

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 40 · 72:20

قُلْ إِنَّمَآ أَدْعُوا۟ رَبِّى وَلَآ أُشْرِكُ بِهِۦٓ أَحَدًا

Swahili Translation - Rowad Translation CenterSema: Hakika mimi namwomba Mola wangu Mlezi, wala simshirikishi Yeye na yeyote.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniSema: Hakika mimi namwomba Mola wangu Mlezi, wala simshirikishi Yeye na yeyote.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70