caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Nooh, Aya 10

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 71 · 71:10

فَقُلْتُ ٱسْتَغْفِرُوا۟ رَبَّكُمْ إِنَّهُۥ كَانَ غَفَّارًا

Swahili Translation - Rowad Translation CenterNikasema: Ombeni msamaha kwa Mola wenu Mlezi; hakika Yeye ni Mwingi wa kusamehe.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniNikasema: Ombeni msamaha kwa Mola wenu Mlezi; hakika Yeye ni Mwingi wa kusamehe.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70