caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Nooh, Aya 9

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 71 · 71:9

ثُمَّ إِنِّىٓ أَعْلَنتُ لَهُمْ وَأَسْرَرْتُ لَهُمْ إِسْرَارًا

Swahili Translation - Rowad Translation CenterKisha nikawatangazia hadharani, tena nikasema nao kwa siri.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniKisha nikawatangazia kwa kelele, tena nikasema nao kwa siri.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70