caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Al-A'raaf, Aya 202

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 39 · 7:202

وَإِخْوَٰنُهُمْ يَمُدُّونَهُمْ فِى ٱلْغَىِّ ثُمَّ لَا يُقْصِرُونَ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterNa ndugu zao wanawavutia kwenye upotovu, kisha wao hawaachi.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniNa ndugu zao wanawavutia kwenye upotofu, kisha wao hawaachi.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70