caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Al-A'raaf, Aya 107

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 39 · 7:107

فَأَلْقَىٰ عَصَاهُ فَإِذَا هِىَ ثُعْبَانٌ مُّبِينٌ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterBasi akaitupa fimbo yake, na tazama, ikawa joka lililo dhahiri.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniBasi akaitupa fimbo yake, na mara ikawa nyoka dhaahiri.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70