caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Al-A'raaf, Aya 108

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 39 · 7:108

وَنَزَعَ يَدَهُۥ فَإِذَا هِىَ بَيْضَآءُ لِلنَّٰظِرِينَ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterNa akautoa nje mkono wake, na tazama ulikuwa mweupe kwa watazamao.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniNa akatoa mkono wake, mara ukawa mweupe kwa watazamao.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70