caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Al-A'raaf, Aya 106

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 39 · 7:106

قَالَ إِن كُنتَ جِئْتَ بِـَٔايَةٍ فَأْتِ بِهَآ إِن كُنتَ مِنَ ٱلصَّٰدِقِينَ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterAkasema (Firauni), "Ikiwa umekuja na ishara yoyote, basi ilete ikiwa wewe ni katika wakweli."
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniAkasema Firauni: Ikiwa umekuja na Ishara, basi ilete ukiwa ni katika wasemao kweli.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70