فَطَافَ عَلَيْهَا طَآئِفٌ مِّن رَّبِّكَ وَهُمْ نَآئِمُونَ
Swahili Translation - Rowad Translation CenterBasi lilitokea tukio juu yake kutoka kwa Mola wako Mlezi, nao wamelala!
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniBasi lilitokea tukio juu yake kutoka kwa Mola wako Mlezi, nao wamelala!