caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Ar-Rahmaan, Aya 46

Madina · mpangilio wa kuteremshwa 97 · 55:46

وَلِمَنْ خَافَ مَقَامَ رَبِّهِۦ جَنَّتَانِ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterNa mwenye kuogopa kusimamishwa mbele ya Mola wake Mlezi atapata Bustani mbili.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniNa mwenye kuogopa kusimamishwa mbele ya Mola wake Mlezi atapata Bustani mbili.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70