caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura An-Najm, Aya 38

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 23 · 53:38

أَلَّا تَزِرُ وَازِرَةٌ وِزْرَ أُخْرَىٰ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterYa kwamba hakika nafsi iliyobeba madhambi haibebi madhambi ya mwengine?
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniYa kwamba hakika nafsi iliyo beba madhambi haibebi madhambi ya mwengine?
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70