caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Qaaf, Aya 30

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 34 · 50:30

يَوْمَ نَقُولُ لِجَهَنَّمَ هَلِ ٱمْتَلَأْتِ وَتَقُولُ هَلْ مِن مَّزِيدٍ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterSiku tutakapoiambia Jahanamu: 'Je, umejaa?' Nayo itasema: 'Je, kuna ziada?'
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniSiku tutapo iambia Jahannamu: Je! Umejaa? Nayo itasema: Je! Kuna ziada?
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70