caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Qaaf, Aya 29

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 34 · 50:29

مَا يُبَدَّلُ ٱلْقَوْلُ لَدَىَّ وَمَآ أَنَا۠ بِظَلَّٰمٍ لِّلْعَبِيدِ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterMbele yangu haibadilishwi kauli, wala Mimi siwadhulumu waja wangu.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniMbele yangu haibadilishwi kauli, wala Mimi siwadhulumu waja wangu.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70