وَأُزْلِفَتِ ٱلْجَنَّةُ لِلْمُتَّقِينَ غَيْرَ بَعِيدٍ
Swahili Translation - Rowad Translation CenterNa Bustani ya mbinguni italetwa karibu mno kwa ajili ya wacha Mungu, haitakuwa mbali.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniNa Pepo italetwa karibu kwa ajili ya wachamngu, haitakuwa mbali.