caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Muhammad, Aya 24

Madina · mpangilio wa kuteremshwa 95 · 47:24

أَفَلَا يَتَدَبَّرُونَ ٱلْقُرْءَانَ أَمْ عَلَىٰ قُلُوبٍ أَقْفَالُهَآ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterJe, hawaizingatii hii Qur-ani? Au kwenye nyoyo (zao) zipo kufuli zake?
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniJe! Hawaizingatii hii Qur'ani? Au kwenye nyoyo (zao) zipo kufuli?
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70