أُو۟لَٰٓئِكَ ٱلَّذِينَ لَعَنَهُمُ ٱللَّهُ فَأَصَمَّهُمْ وَأَعْمَىٰٓ أَبْصَٰرَهُمْ
Swahili Translation - Rowad Translation CenterHao ndio aliowalaani Mwenyezi Mungu, na akawatia uziwi, na akawapofua macho yao.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniHao ndio Mwenyezi Mungu alio walaani, na akawatia uziwi, na akawapofoa macho yao.