caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Muhammad, Aya 25

Madina · mpangilio wa kuteremshwa 95 · 47:25

إِنَّ ٱلَّذِينَ ٱرْتَدُّوا۟ عَلَىٰٓ أَدْبَٰرِهِم مِّنۢ بَعْدِ مَا تَبَيَّنَ لَهُمُ ٱلْهُدَى ٱلشَّيْطَٰنُ سَوَّلَ لَهُمْ وَأَمْلَىٰ لَهُمْ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterKwa hakika wale wanaorudi nyuma baada ya uongofu kwisha wabainikia, Shetani huyo amewashawishi na amewaghuri.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniKwa hakika wanao rudi nyuma baada ya kwisha wabainikia uwongofu, Shetani huyo amewashawishi na amewaghuri.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70