caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Ad-Dukhaan, Aya 12

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 64 · 44:12

رَّبَّنَا ٱكْشِفْ عَنَّا ٱلْعَذَابَ إِنَّا مُؤْمِنُونَ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterMola wetu Mlezi! Tuondolee adhabu hii. Hakika tutaamini.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniMola wetu Mlezi! Tuondolee adhabu hii. Hakika tutaamini.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70