أَنَّىٰ لَهُمُ ٱلذِّكْرَىٰ وَقَدْ جَآءَهُمْ رَسُولٌ مُّبِينٌ
Swahili Translation - Rowad Translation CenterNini faida ya kukumbuka kwao? Na alikwisha wafikia Mtume mwenye kubainisha.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniNini faida ya kukumbuka kwao? Na alikwisha wafikia Mtume mwenye kubainisha.