caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Az-Zukhruf, Aya 29

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 63 · 43:29

بَلْ مَتَّعْتُ هَٰٓؤُلَآءِ وَءَابَآءَهُمْ حَتَّىٰ جَآءَهُمُ ٱلْحَقُّ وَرَسُولٌ مُّبِينٌ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterBali tuliwastarehesha hawa na baba zao mpaka ikawafikia Haki na Mtume aliyebainisha.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniBali tuliwastarehesha hawa na baba zao mpaka ikawafikia Haki na Mtume aliye bainisha.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70