caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Az-Zukhruf, Aya 30

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 63 · 43:30

وَلَمَّا جَآءَهُمُ ٱلْحَقُّ قَالُوا۟ هَٰذَا سِحْرٌ وَإِنَّا بِهِۦ كَٰفِرُونَ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterNa ilipowafikia Haki wakasema: 'Huu ni uchawi, na sisi hakika tunaukataa.'
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniNa ilipo wafikia Haki wakasema: Huu ni uchawi, na sisi hakika tunaukataa.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70