caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Al-Ghaafir, Aya 69

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 60 · 40:69

أَلَمْ تَرَ إِلَى ٱلَّذِينَ يُجَٰدِلُونَ فِىٓ ءَايَٰتِ ٱللَّهِ أَنَّىٰ يُصْرَفُونَ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterJe, huwaoni wale wanaobishana katika Ishara za Mwenyezi Mungu? Wanageuziwa wapi?
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniJe! Huwaoni wale wanao bishana katika Ishara za Mwenyezi Mungu? Wanageuziwa wapi?
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70