caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Al-Ghaafir, Aya 70

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 60 · 40:70

ٱلَّذِينَ كَذَّبُوا۟ بِٱلْكِتَٰبِ وَبِمَآ أَرْسَلْنَا بِهِۦ رُسُلَنَا فَسَوْفَ يَعْلَمُونَ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterAmbao wamekanusha Kitabu na yale tuliyowatuma Mitume wetu. Basi watakuja jua.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniAmbao wamekanusha Kitabu na yale tuliyo watuma Mitume wetu. Basi watakuja jua.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70