caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Al-Ghaafir, Aya 68

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 60 · 40:68

هُوَ ٱلَّذِى يُحْىِۦ وَيُمِيتُ فَإِذَا قَضَىٰٓ أَمْرًا فَإِنَّمَا يَقُولُ لَهُۥ كُن فَيَكُونُ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterYeye ndiye anayehuisha na anayefisha. Akihukumu jambo liwe, basi huliambia: "Kuwa!" Likawa.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniYeye ndiye anaye huisha na anaye fisha. Akihukumu jambo liwe, basi huliambia: Kuwa! Likawa.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70