caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Saad, Aya 21

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 38 · 38:21

وَهَلْ أَتَىٰكَ نَبَؤُا۟ ٱلْخَصْمِ إِذْ تَسَوَّرُوا۟ ٱلْمِحْرَابَ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterNa je, imekufikia habari ya wagombanao walipopindukia ukuta kuingia chumbani?
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniNa je! Imekufikia khabari ya wagombanao walipo pindukia ukuta kuingia chumbani?
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70