وَشَدَدْنَا مُلْكَهُۥ وَءَاتَيْنَٰهُ ٱلْحِكْمَةَ وَفَصْلَ ٱلْخِطَابِ
Swahili Translation - Rowad Translation CenterNa tukautia nguvu ufalme wake, na tukampa hekima, na kukata hukumu.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniNa tukautia nguvu ufalme wake, na tukampa hikima, na kukata hukumu.