caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura As-Saaffaat, Aya 96

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 56 · 37:96

وَٱللَّهُ خَلَقَكُمْ وَمَا تَعْمَلُونَ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterNa hali Mwenyezi Mungu ndiye aliyekuumbeni nyinyi na hivyo mnavyovifanya!
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniNa hali Mwenyezi Mungu ndiye aliye kuumbeni nyinyi na hivyo mnavyo vifanya!
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70