caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura As-Saaffaat, Aya 95

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 56 · 37:95

قَالَ أَتَعْبُدُونَ مَا تَنْحِتُونَ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterAkasema: Hivyo mnaviabudu vitu mnavyovichonga wenyewe?
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniAkasema: Hivyo mnaviabudu vitu mnavyo vichonga wenyewe
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70