caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura An-Naml, Aya 75

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 48 · 27:75

وَمَا مِنْ غَآئِبَةٍ فِى ٱلسَّمَآءِ وَٱلْأَرْضِ إِلَّا فِى كِتَٰبٍ مُّبِينٍ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterNa hakuna siri katika mbingu na ardhi isipokuwa imo katika Kitabu kinachobainisha.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniNa hakuna siri katika mbingu na ardhi ila imo katika Kitabu kinacho bainisha.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70