وَإِنَّ رَبَّكَ لَيَعْلَمُ مَا تُكِنُّ صُدُورُهُمْ وَمَا يُعْلِنُونَ
Swahili Translation - Rowad Translation CenterNa hakika Mola wako Mlezi anayajua yanayoficha vifua vyao na wanayoyaweka hadharani.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniNa hakika Mola wako Mlezi anayajua yanayo ficha vifua vyao na wanayo yatangaza.