إِنَّ هَٰذَا ٱلْقُرْءَانَ يَقُصُّ عَلَىٰ بَنِىٓ إِسْرَٰٓءِيلَ أَكْثَرَ ٱلَّذِى هُمْ فِيهِ يَخْتَلِفُونَ
Swahili Translation - Rowad Translation CenterHakika Qur-ani hii inawasimulia Wana wa Israili mengi ya yale wanayohitalifiana ndani yake.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniHakika Qur'ani hii inawasimulia Wana wa Israili mengi wanayo khitalifiana nayo.