caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Ash-Shu'araa, Aya 15

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 47 · 26:15

قَالَ كَلَّا فَٱذْهَبَا بِـَٔايَٰتِنَآ إِنَّا مَعَكُم مُّسْتَمِعُونَ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterAkasema: Sivyo hivyo kabisa! Nendeni na miujiza yetu. Hakika Sisi tu pamoja nanyi, tunasikiliza.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniAkasema: Siyo hivyo kabisa! Nendeni na miujiza yetu. Hakika Sisi tu pamoja nanyi, tunasikiliza.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70