caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Ash-Shu'araa, Aya 14

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 47 · 26:14

وَلَهُمْ عَلَىَّ ذَنۢبٌ فَأَخَافُ أَن يَقْتُلُونِ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterNa wao wana dhambi niliyowafanyia, kwa hivyo ninahofu wanaweza kuniua.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniNa wao wana kisasi juu yangu, kwa hivyo naogopa wasije kuniuwa.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70