caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Ash-Shu'araa, Aya 16

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 47 · 26:16

فَأْتِيَا فِرْعَوْنَ فَقُولَآ إِنَّا رَسُولُ رَبِّ ٱلْعَٰلَمِينَ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterBasi nendeni kwa Firauni na mwambieni: Hakika sisi ni Mitume wa Mola Mlezi wa walimwengu wote.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniBasi mfikieni Firauni na mwambieni: Hakika sisi ni Mitume wa Mola Mlezi wa walimwengu wote.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70