caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Al-Muminoon, Aya 114

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 74 · 23:114

قَٰلَ إِن لَّبِثْتُمْ إِلَّا قَلِيلًا لَّوْ أَنَّكُمْ كُنتُمْ تَعْلَمُونَ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterAtasema: Nyinyi hamkukaa huko duniani ila kidogo, laiti ingelikuwa mnajua.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniAtasema: Nyinyi hamkukaa huko duniani ila kidogo, laiti ingeli kuwa mnajua.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70