caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Al-Muminoon, Aya 113

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 74 · 23:113

قَالُوا۟ لَبِثْنَا يَوْمًا أَوْ بَعْضَ يَوْمٍ فَسْـَٔلِ ٱلْعَآدِّينَ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterWatasema: Tulikaa siku moja au sehemu ya siku. Basi waulize wanaoweka hisabu.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniWatasema: Tulikaa siku moja au sehemu ya siku. Basi waulize wanao weka hisabu.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70