caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Al-Muminoon, Aya 115

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 74 · 23:115

أَفَحَسِبْتُمْ أَنَّمَا خَلَقْنَٰكُمْ عَبَثًا وَأَنَّكُمْ إِلَيْنَا لَا تُرْجَعُونَ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterJe, mlidhani ya kwamba tuliwaumba bure, na ya kwamba nyinyi kwetu hamtarudishwa?
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniJe! Mlidhani ya kwamba tulikuumbeni bure na ya kwamba nyinyi kwetu hamtarudishwa?.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70