caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Al-Anbiyaa, Aya 95

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 73 · 21:95

وَحَرَٰمٌ عَلَىٰ قَرْيَةٍ أَهْلَكْنَٰهَآ أَنَّهُمْ لَا يَرْجِعُونَ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterNa haiwi kwa wana mji tuliouangamiza, ya kwamba hawatarejea.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniNa haiwi kwa wana-mji tulio uangamiza, ya kwamba hawatarejea,
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70