caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Al-Anbiyaa, Aya 96

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 73 · 21:96

حَتَّىٰٓ إِذَا فُتِحَتْ يَأْجُوجُ وَمَأْجُوجُ وَهُم مِّن كُلِّ حَدَبٍ يَنسِلُونَ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterMpaka watakapofunguliwa Yaajuju na Maajuju wakawa wanateremka haraka kutoka kwenye kila kilima.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniMpaka watapo funguliwa Juju na Maajuju wakawa wanateremka kutoka kila mlima;
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70