caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Al-Anbiyaa, Aya 60

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 73 · 21:60

قَالُوا۟ سَمِعْنَا فَتًى يَذْكُرُهُمْ يُقَالُ لَهُۥٓ إِبْرَٰهِيمُ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterWakasema: Tumemsikia kijana mmoja akiwataja. Anaitwa Ibrahim.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniWakasema: Tumemsikia kijana mmoja akiwataja. Anaitwa Ibrahim.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70