caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Al-Anbiyaa, Aya 59

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 73 · 21:59

قَالُوا۟ مَن فَعَلَ هَٰذَا بِـَٔالِهَتِنَآ إِنَّهُۥ لَمِنَ ٱلظَّٰلِمِينَ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterWakasema: Ni nani aliyeifanyia haya miungu yetu? Hakika yeye ni katika waliodhulumu.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniWakasema: Nani aliye ifanyia haya miungu yetu? Hakika huyu ni katika walio dhulumu.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70