caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Al-Anbiyaa, Aya 61

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 73 · 21:61

قَالُوا۟ فَأْتُوا۟ بِهِۦ عَلَىٰٓ أَعْيُنِ ٱلنَّاسِ لَعَلَّهُمْ يَشْهَدُونَ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterWakasema: Mleteni mbele ya macho ya watu, ili wapate kumshuhudia!
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniWakasema: Mleteni mbele ya macho ya watu, wapate kumshuhudia
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70