caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Al-Anbiyaa, Aya 58

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 73 · 21:58

فَجَعَلَهُمْ جُذَٰذًا إِلَّا كَبِيرًا لَّهُمْ لَعَلَّهُمْ إِلَيْهِ يَرْجِعُونَ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterBasi akayavunja vipande vipande, ila kubwa lao, ili wao walirudie.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniBasi akayavunja vipande vipande, ila kubwa lao, ili wao walirudie.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70